Tuzo za Grammy za mwaka huu
zitachagizwa na kuwapo kwa nyimbo nyingi mpya lakini zitakuwa na sura
iliyozoeleka ya LL Cool J.
Waandaaji wa tuzo hizo za muziki
wamemtangaza msanii wa rap ambaye ni muigizaji filamu, kuwa atakuwa
mshereheshaji mkuu kwa mwaka wa tano mfululizo.
Tuzo hizo za Grammy zitarushwa
hewani Februari 15 katika ukumbi wa Staples Center Jijini Los
Angeles.
Mwanamuziki Justin Bieeber ni miongoni mwa wanaowania tuzo za Grammy
Mwanamuziki Taylor Swift naye yupo katika mchuano wa kuwania tuzo hizo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni