Waziri
kuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi seti moja ya jezi na mipira miwili
nahodha wa timu ya mpira wa miguu ya Super Mark ya kijiji cha
Nabgulugai wilayani Ruagwa, Paulo Joseph baada ya kuhutubia mkutano wa
hadhara kijijini hapo Desemba 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
kuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi seti moja ya jezi na mipira miwili
nahodha wa timu ya mpira wa miguu ya Super Mark ya kijiji cha Nabgulugai
wilayani Ruagwa, Issa Ngele baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara
kijijini hapo Desemba 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akizungumza katika mkutano wa
hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye kijiji cha
Narungombe wilayani Ruangwa Desemba 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni