Meneja
wa Kanda ya Dar es Salaam wa Kampuni
ya Mafuta ya GAPCO, Rashid Khalfan (kulia) akibonyeza kitufe kwenye
kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya pili ya promosheni ya "Jaza
Mafuta na Ushinde" inayoendeshwa na Kampuni hiyo na kusimamiwa na
Mkaguzi wa Michezo ya kubahatisha nchini, Abdallah Hemedy (kushoto).
katikati ni Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni