Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Waziri wa Ulinzi na Jeshi
la Kujenga Taifa Dk. Hussein Mwinyi kweye ukubi wa mikutano wa Ikulu leo
jijini Dar es salaam ambapo mawaziri mbalimbali wameapa kutumikia
watanzania kwa miaka mitano ijayo ya uongozi wa Dk. John Pombe Magufuli,
wa tatu kutoka kulia ni Balozi Ombeni Sefue Katibu Mkuu Kiongozi.(PICHA
NA JOHN BUKUKU-IKULU DAR ES SALAAM)
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Waziri wa Ardhi Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi Ikulu leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Waziri wa
. na Umwagiliaji Mh Makame Mbarawa Ikulu leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Waziri wa Sheria na Katiba
Dk. Harrison Mwakyembe Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Waziri wa Nishati na Madini
Mh. Profesa Sospeter Mwijarubi Muhongo Ikulu leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi baada ya
kumuapisha Mh. Charles Kitwanga kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Ummy Mwalimu waziri wa
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli
akimuapisha January Makamba kuwa waziri wa Wizara ya Ofisi ya Makamu wa
Rais, Muungano na Mazingira Ikulu leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Waziri wa
Ofisi ya Raisi Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora Mh. Angela Kairuki
ikulu leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Mwigulu Lameck Nchemba kuwa
Waziri wa Kilimo Kilimo, Mifugo na Uvuvi Ikulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Agustine Mahiga kuwa
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki , Ushirikiano
wa Kikanda na Kimataifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Mh. Nape Nnauye kuwa Waziri
wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Ikulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Naibu Waziri
wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi mara baada ya kumuapisha Ikulu
leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Mh. Anthony Mavunde kuwa
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi,Ajira, Vijana na
Walemavu Ikulu leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi Vitendea kazi Mh. Khamis
Kigwangala mara baada ya kumwapisha kuwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto.
Kutoka kulia Makamu wa Rais Mh.
Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mh. Majaliwa, Kassim Majaliwa, Jaji
Mkuu wa Tanzania Mh. Mohammed Chande, Mwanasheria Mkuu wa Serikali
George Masaju, Naibu Spika wa Bunge Tulia Ackson Mwansasu na Mke wa Rais
Mama Janet Magufuli wakishuhudia wakati mawaziri wakiapishwa ikulu leo.
Kutoka kulia Makamu wa Rais Mh.
Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mh. Majaliwa, Kassim Majaliwa, Jaji
Mkuu wa Tanzania Mh. Mohammed Chande, Mwanasheria Mkuu wa Serikali
George Masaju wakishuhudia kuapishwa kwa Baraza la Mawaziri.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Mh. Suleiman
Jafo mara baada ya kumuapisha kwa Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais,
Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora Ikukulu leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Dk Meldadi Kalemani Kuwa
Naibu Waziri Nishati na Madini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimmuapisha Dk. Abdallah Possi
kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu , Sera, Bunge, Kazi , Ajira,
Vijana na Walemavu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Mawaziri mara baada ya kuwaapisha Ikulu leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Mawaziri na Manaibu Mawaziri mara baada ya kuwaapisha Ikulu leo.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo kushoto akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Ndugu Abdallah Bulembo.
Baadhi ya Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali wakiwa katika hafla ya hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiondoka ukumbini mara baada ya
kumaliza kuwaapisha Mawaziri Ikulu leo.
Mh. Nape Nnauye Waziri wa Habari,
Utamaduni, Wasanii na Michezo Ikulu akihojiwa na mwandishi wa habari wa
TBC1 mara baada ua kuapishwa leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Mrs Rhobi Nape Nnauye akiwa ni
miongozi mwa wageni waalikwa ili kushuhudia Mumewe Mh. Nape Nnauye akila
Kiapo kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo leo Ikulu
jijini Dar es salaam.
Kutoka Kushoto ni Waheshimiwa
Mawaziri Januari Makamba, Ummy Mwalimu, Charles Kitwanga, Sospeter
Mwijarubi Muhongo na Mh. Jenista Muhagama mara baada ya kula kiapo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni