Kocha Pep Guardiola ataondoka Bayern
Munich mwishoni mwa msimu huu na nafasi yake kutwaliwa na Carlo
Ancelotti.
Guardiola, 44, amekuwa akihusihswa
na klabu za Manchester City, Manchester United, Chelsea pamoja na
Arsenal.
Kocha huyo wa zamani wa Barcelona
ameshinda mataji mawili ya ligi pamoja na Kombe la Ujerumani tangu
ajiunge na Bayern majira ya joto mwaka 2013.
Carlo Ancelotti akikumbatiana na Pep Guardiola ambaye atamrithi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni