Wafanyakazi wa TBL Mbeya walivyopokea kombe la tuzo ya ushindi wa mwajiri bora 2015.
posted on
Ofisa Mipango wa
Kampuni ya TBL Group kutoka Dar es Salaam, Tumaini Moses akiwasili kwenye
Uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya akiwa na Kombe la tuzo ya
Mwajiri bora 2015 ambayo kampuni hiyo ilishinda hivi karibuni.
Mkuu wa Kiwanda cha TBL tawi
la Mbeya, Waziri Jemedari akipokea kombe la tuzo ya mwajiri bora kutoka kwa
Afisa Mipango wa kampuni Tumaini Moses,Kombe hilo la tuzo lilikuwa mkoani Mbeya
ambao wafanyakazi wote wa kiwanda icho walishiriki kusherehekea mafanikio ya
kampuni yao.
Wafanyakazi wa TBL
Tawi la Mbeya, wakifurahia kombe la Mwajiri Bora mwaka 2015 baada ya kuwasili
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni