mwanamuziki wa Dansi Patcho
Mwamba Akiwa anaimba mbele ya washabiki wake waliouthuria onyesho la
bendi hiyo lililofanyika ndani ya ukumbi wa Triple A uliopo ndani ya
jiji la Arusha
wanenguaji wa bendi ya Fm Academia wakifanya mambo ndani ya ukumbi wa Triple A uliopo ndani ya jiji la Arusha
washabiki wa bendi ya Fm Academia wakiwa wanacheza nyimbo ya heshima kwa wanawake iliyokuwa ikipigwa bendi hiyo.
washabiki wa fm wakiwa waangalia show ya nguvu iliyokuwa inadondoshwa na bendi hiyo
Mwanamziki wa kingombe blaise akiwa na mmoja wamashabiki wake waliouthuria show hivyo
washabiki wa bendi ya fm Academia wakiwa wanaendelea kucheza sebene la nguvu lilokuwa likidondoshwa na bendi hiyo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni