Sepp Blatter ( katikati )
Michael Platini
Sepp Blatter ( kushoto ) akisalimiana kwa furaha na Michael Platini.
Rais wa Shrikisho la soka Ulimwenguni ( Fifa ), Sepp Blatter pamoja na Rais wa Shirikisho la soka Barani Ulaya ( UEFA ), Michael Platini wamefungiwa kujihusisha na masuala ya soka kwa miaka minane.
Hukumu hiyo imetolewa leo. Mwaka 2011, Blatter alimlipa Platini kiasi cha dola za kimarekani milioni 1.35 malipo ambayo yameelezewa kuwa na utata.
Kwa hukumu hiyo, wote wawili watashindwa kujitokeza kuwania nafasi ya Urais wa FIFA katika uchaguzi utakaofanyika mwezi wa pili mwakani.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni