Brass band ya Jeshi la Magereza Kiwira ikiongoza maandamano ya kitaaluma kuelekea katika viwanja vya Sherehe za mahafali ya 14 ya Chuo kikuu cha Mzumbe kampasi ya Mbeya |
Wahadhiri mbali mbali wakiwa kwenye maandamano ya kitaaluma wakati wa Mahafali ya 14 ya Chuo kikuu Mzumbe Kampasi ya Mbeya |
Wahitimu wa ngazi ya Shahada ya Uzamili wakifuatilia kwa makini sherehe za mahafali ya 14 ya Chuo kikuu Mzumbe |
Mmoja wa Wahitimu wa Shahada ya Uzamili ya biashara katika menejimenti ya mashirika (MBA - CM) Matilda Luvinga akiwa na furaha baada ya kutunukiwa Cheti chake. |
Mmoja wa Wahitimu wa Shahada ya Uzamili ya biashara katika menejimenti ya mashirika (MBA - CM) Matilda Luvinga akipongezwa na mtoto wake baada ya mahafali kuisha. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni