Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani
akizungumza na watendaji wa Wizara ya Ujenzi pamoja na Taasisi zake
kuhusu ufanyaji kazi kwa uadilifu kwa kuzingatia maslahi ya jamii.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani
akisalimiana na baadhi ya watendaji wa Wizara ya iliyokuwa ya Uchukuzi
wakati alipotembelea Wizara hiyo ambayo sasa imeunganishwa na Ujenzi na
Mawasiliano.
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani akitoa
maelekezo kwa watendaji wa Wizara hiyo namna ya kukabiliana na
changamoto mbalimbali zinazowakabili na mikataba wanayoingia iwe kwa
maslahi ya nchi.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani
akiweka sahihi katika kitabu cha wageni huku Katibu Mkuu wa aliyekuwa
Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Bw. Yamungu Kayandabila
akishuhudia.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni