Mkali
wa magoma hapa nchini na nje, Dj Bon Love akifanya yake katika Usiku wa
Heart & Soul uliofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye kiota
kinachobamba zaidi hapa mjini cha Raphsody, ndani ya Jengo la Viva
Towers katikati ya Jiji la Dar. Dj Bon Love na maDJ wengine wakali
hukutana pamoja kwenye kiota hicho ili kukonga nyoyo za wapenda Burudani
kutoka maeneo mbalimbali.Usiku huo uliwezeswa kwa Udhanimi Mkubwa wa
Kilaji ya Heineken.
Baadhi ya Wadua wa Burudani wakiwepo DJ. Venture na Mwanalibeneke Haki Ngowi wakiwakilisha katika Usiku wa Heart & Soul.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg-SGGw2fZKsHHT0Tq24qX8W7XLanayAIKzM7SIafROs7QJwK4aFAriFmu63W5yH6XK8_llgwT2MBX2K5fO4ixfDfhQxPP_K2eyCuYSR14PU6CgVrCFQw7nkO1hHrzpP5OPJRrUlfn7Dq8/s640/DSCF0426.jpg)
Mmoja wa maDJ wanaopiga katika Usiku wa Heart & Soul akifanya mambo yake.
Furaha pindi wadau wanapokutana.
Mdau
Othman Michuzi (kulia) na marafiki wengine nao hawakutaka kukutukipwa
ya Usiku wa Heart & Soul ndani ya kiota pendwa cha Raphsody, Jengo
la Viva Towers katikati ya Jiji la Dar.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni