UKATILI WA KIJINSIA SOKO LA TEMEKE WAPUNGUA KWA ASILIMIA 70

Mwezeshaji Sheria katika Soko la Temeke Sterio, Batuli Mkumbukwa (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mafanikio waliyopata ya kupunguza vitendo vya ukatili wa kijinsia katika soko hilo baada ya kupatiwa mafunzo na Shirika la Equality for Growth (EfG). Kushoto ni Mwezeshaji wa Sheria, Christina Simon na Augenia Gwamakombe.
Mkuu wa Mgambo katika soko hilo, Onesmo Osward (kushoto), akizungumza katika mkutano huo.
Mfanyabiashara wa matunda katika soko hilo, Isabela Juakali akichangia jambo kwenye mkutano huo.
Mwezeshaji wa Sheria katika soko hilo, Augenia Gwamakombe (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
Mfanyabiashara wa Soko hilo, Said, Mbonde (kulia), akizungumzia kupungua kwa ukatili wa Kijinsia katika soko hilo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni