VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAKUTANA


Msajili wa vyama vya siasa nchini,Jaji Mstaafu ,Francis Mtungi akiarisha mkutano wa vyama vya siasa ulioandaliwa kwa ajili ya kumuaga Rais Dk.Jakaya Kikkwete leo jijini Dar es Salaam.
Mchambuzi wa wa Masuala ya Siasa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Dk.Benson Bana akizungumza na waandishi wa habari juu hali ya siasa nchini leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Aliyekuwa Mgombea Urais wa TLP,Maxmillian Lymo akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Phillip Mangula( Kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Labour Patry (TLP), Agustino Lyatonga Mrema (kulia ) na katikati Mgombea Urais, Maxmillian Lymo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti Taifa wa chama cha (AFD) Said Soud Said akifafanua jambo kwa wandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya Jamii

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni