Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Kuweit Dkt. Mahadhi Juma
Maalim wakati Balozi Mahadhi alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu
Dar es salaam leo Februari 25, 2016 kwa ajili ya kujitambulisha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Kuweit Dkt. Mahadhi Juma Maalim
wakati Balozi Mahadhi alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu
Dar es salaam leo Februari 25, 2016 kwa ajili ya kujitambulisha.
(Picha na OMR)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni