Mke
wa Rais Mstaafu na Mwenyekiti wa WAMA akisalimiana na Mama Othman
Chande alipowasili katika Shule ya Sekondari Tambaza kuhudhuriaWorld
Thinking Day iliyoandaliwa na Tanzania Girl Guide Association.
Wanachama wa Girl Guide wakiwasili katika Shule ya Sekondari Tambaza katika kusherekea World Thinking Day ambao walipokelewa na Mgeni Rasmi Mama Salma Kikwete.
Mama
Salma Kikwete akiingia katika ukumbi wa Tambaza Sekondari akiwa na
viongozi wa Girl Guide kushoto ni Mama Symphorosa Hangi, Kamishna Mkuu na kulia ni Mama Matilda Balama na Mkuu wa Shule ya Tambaza.
Picha ya Pamoja na Mgeni Rasmi na baadhi ya wanafunzi Wanachama na viongozi wa Girl Guide
Mama Salma Kikwete akiangalia kazi za wakinamama wajasiriamali ambao walifanya maonyesho katika sherehe hizo.
PICHA NA YUSUPH BADI.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni