Home
News
Lifestyle
Fashion
Nature
Health
Travel
About
Conact
Habari
Kitaifa
WAZIRI KITWANGA AFANYA KIKAO NA WATENDAJI WAKUU WA JESHI LA POLISI NA WAKUU WA IDARA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
posted on
23:41:00
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi nchini pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji wa kazi ndani ya Jeshi hilo na Wizara kiujumla. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Wakwanza upande wa kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira, na wakwanza upande wa kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kulia) akizungumza jambo katika kikao kazi alichokitisha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) kuzungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi nchini pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara yake, kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji wa kazi ndani ya Jeshi hilo na Wizara kiujumla. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Wakwanza upande wa kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) kuhusu masuala mbalimbali ya kikazi ndani ya Jeshi lake katika Kikao kazi cha Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi nchini pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kilichoitishwa na Waziri Kitwanga na kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Wakwanza upande wa kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akifuatiwa na Naibu wake, Balozi Simba Yahya. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Simba Yahya, akizungumza jambo katika kikao kazi alichokitisha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) kuzungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi nchini pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara yake, kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji wa kazi ndani ya Jeshi hilo na Wizara kiujumla. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Kulia kwa Balozi Simba ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira.Wakwanza upande wa kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
About us
Twitter
Facebook
GooglePlus
Pinterest
Linkedin
Instagram
Youtube
Github
Vimeo
Dribbble
Tumblr
Stumbleupon
Delicious
Reddit
Contact
RSS
Popular Posts
serekali yaombwa kupitia sheria ya mtoto ya mwaka 1971
Serekali imetakiwa kuangalia upya sheria ya mtoto ya mwaka 1971 kwani ndio imebainika kuwa ndio chanzo kimoja wapo kinachoruhusu na kun...
MONABAN ANZA KAMPENI MTU KWA MTU LEVOLOSI
Na Mahmoud Ahmad Arusha Mgombea ubunge wa jimbo la Arusha kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Philemon Mollel amewataka wakazi wa jiji...
NHIF YATAKIWA KUONGEZA IDADI YA WANACHAMA NCHINI. NA WAMJW-DAR ES SALAAM
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile katikati akifua...
Rais Dkt Magufuli awapa siku 15 Wakuu wa Mikoa kuwaondoa watumishi hewa walio katika orodha ya malipo ya mishahara ya watumishi wa umma katika Mikoa yao
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mbele ya Waku wa Mikoa mara baada ya kuwaapis...
RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA MADIWANI PAMOJA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHATO MKOANI GEITA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Madiwani, Viongozi mbalimbali pamoja na Watumi...
NSSF YATOA ELIMU KUHUSU HIFADHI YA JAMII KWA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) yazidi kutoa elimu juu ya hifahdi ya jamii kwa wananchi mbalimbali ikiwa ni mpango ma...
wana kijiji wafikishwa mahakamani kwa kutokua na vyoo
washtakiwa wa kosa la kutokua na vyoo wakiwa katika mahakama ya wilaya ya Longido Wananchi 15 wakazi wa kijiji cha Geb...
"Nimefunga mjadala wa Rambirambi" RC Gambo
Hatimaye utata uliokuwa umeenea wa kuwepo kwa ufujaji na matumizi mabaya ya fedha kiasi cha milioni 285.49 zilizokuwa zimechangwa na wa...
Rc Gambo Azindua TTCL 4G LTE ramsi Mkoani Arusha
Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akihutubia kwenye uzinduzi huo wa TTCL 4G LTE . Pichani ni Kaimu Afisa mtendaji Mkuu wa T...
MSTAHIKI MEYA SELEBOSI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI LEO JIJINI TANGA
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga(CCM) Alhaji Mustapha Mhina Selebosi akizungumza wakati akifungua kikao cha Baraza la Madiwani leo kwenye u...
Social Share Icons
19,701
9,297
4,182
2,157
1,052
Archives
►
2022
(10)
►
Novemba
(5)
►
Aprili
(2)
►
Machi
(1)
►
Februari
(2)
►
2021
(1)
►
Julai
(1)
►
2018
(499)
►
Novemba
(2)
►
Septemba
(29)
►
Agosti
(83)
►
Julai
(11)
►
Juni
(121)
►
Mei
(79)
►
Aprili
(81)
►
Machi
(54)
►
Februari
(14)
►
Januari
(25)
►
2017
(461)
►
Novemba
(31)
►
Oktoba
(28)
►
Septemba
(24)
►
Agosti
(10)
►
Julai
(9)
►
Juni
(45)
►
Mei
(54)
►
Aprili
(31)
►
Machi
(73)
►
Februari
(112)
►
Januari
(44)
▼
2016
(1558)
►
Desemba
(63)
►
Novemba
(232)
►
Oktoba
(200)
►
Septemba
(142)
►
Agosti
(109)
►
Julai
(130)
►
Juni
(113)
►
Mei
(83)
►
Aprili
(102)
►
Machi
(117)
▼
Februari
(212)
WADAU WAAANZA KUJENGA UELEWA KUHUSU SIKU YA MAGONJ...
MAKAMU WA RAIS MSTAAFU DKT. BILAL AKABIDHI ZAWADI ...
WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA MKOA W...
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA WARSHA YA PILI Y...
Mke wa Rais Mstaafu na Mwenyekiti wa WAMA asisitiz...
DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUFUNGWA KWA DUKA LA DAWA L...
KILIMANJARO MARATHON 2016 KATIKA PICHA
NAIBU WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO AZ...
WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA APOKEA MISAADA MBALI ...
RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI ARUSHA TAYARI KW...
KURASA ZA MAGAZETI YA HARDNEWS NA BURUDANI FEB 27,...
Wanamuziki wajitokeza kwa wingi kumzika gwiji Kass...
TAMWA YASIKITISHWA KESI ZA UBAKAJI/ULAWITI KWA WAT...
MBUNGE COSATO AFANYA ZIARA JIMBONI KUJIONEA SHUGHU...
MAZISHI YA MAREHEMU GERVASE RUTAGUZA YAFANYIKA JIJ...
KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI KATIKA HALMASHAURI YA...
KURASA ZA MAGAZETI YA HARDNEWS NA BURUDANI IJUMAA ...
KURASA ZA MAGAZETI YA UDAKU NA BURUDANI FEBRUARI 2...
KLABU YA KIMATAIFA LIONS CLUB INTERNATIONAL YATOA ...
ZAKIA MEGHJI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI MOI JIJ...
MSAJILI WA HAZINA AKAGUA UJENZI WA MRADI WA ECO RE...
STATEMENT BY HEAD OF UN MISSION IN TANZANIA ON THE...
WAZIRI NAPE AAHIDI UPATIKANAJI WA SERA YA FILAMU N...
SERIKALI YAWAKUTANISHA VIJANA KUUNDA KANUNI ZA UEN...
AfDB Board approves 2016-2020 Country Strategy Pap...
ZANZIBAR KUANZISHA KITUO CHA MTANDAO WA MAENEO YAKE.
MAONYESHO YA TATU YA MASHINE NA MIKOPO YAANZA HUKU...
Ofisi ya Uhusiano, Kitengo cha Masoko TANESCO wael...
NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, AMWAKILISHA MAKA...
WAZIRI MBARAWA AZITAKA TAASISI ZA WIZARA YAKE KUSH...
ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELE...
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, SAID MECK SADIKI AZ...
CHAMA CHA BODABODA WILAYA YA NACHINGWEA CHATOA MIK...
NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI, KATIBU MKUU W...
SERIKALI KUTOA MIKATABA MAALUM YA AJIRA SEKTA YA U...
WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ATETA NA WAFANYABIASHAR...
SHINDA NYUMBA, MSHINDI WA PIKIPIKI AKABIDHIWA
MZEE KASSIM MAPILI AFARIKI DUNIA
MAJALIWA APOKEA VIFAA VYA HOSPITALI KUTOKA MAKAMPU...
TANZANIA MWENYEJI WA MKUTANO WA JPC NA ZAMBIA
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA BALOZI A TANZ...
TAASISI YA KIISLAMU YA MUZDALIFAT YATOA VIFAA MBAL...
BLOGU YA WANANCHI YATIMIZA MIAKA MITATU SHEREHE KU...
BARAZA LA WAFANYAKAZI OFISI YA RAIS IKULU LAKUTANA...
SDL KUMALIZIKA WIKIENDI HII
WATOTO WAWILI WA NCHINI AFRIKA KUSINI WAMSHTAKI TB...
ADELE AZOA TUZO NNE KATIKA TUZO ZA WASANII WA MUZI...
ZANZIBAR YAIOMBA UMOJA WA FALME ZA KIARABU KUIUNGA...
TAMASHA LA CHANGIA DAMU KUFANYIKA LEO
JESHI LA POLISI MKOANI KILIMANJARO LANASA BUNDUKI ...
MANCHESTER CITY YAIFUNGA DYNAMO KIEV NYUMBANI KWAO
NYOTA WA FILAMU WA BOLLYWOOD SANJAY DUTT ATOKA JELA
LEO NI BIRTHDAY YA MDAU DIXON BUSAGAGA.
17TH EAC HEADS OF STATE SUMMIT SET FOR 2ND MARCH, ...
NGOMA AFRICA BAND NA MZIMU WAO WA MZIKI WA DANSI !...
TRA yatoa tamko ya kuhusu matumizi ya EFD kwenye v...
PSPF YAWAPA ELIMU WAJASIRIAMALI JUU YA HUDUMA ZAKE
UMUHIMU WA KUDAI RISITI (KIBONZO CHA NATHAN MPANGALA)
Mgambo wasio waadilifu kushughulikiwa.
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NEC NA UNDP ZAFANYA MIKU...
WAKULIMA WILAYANI RORYA MKOANI MARA WAPATIWA MAFUN...
Wananchi waaswa kutunza miundombinu ya barabara in...
WAJASIRIAMALI WAKULIMA NA WAFUGAJI WATAKIWA KUCHAN...
MKUU WA WILAYA YA ARUSHA AFUNGA MACHIMBO YA MORAMU...
HILI NALO NI JIPU LASUBIRIWA KUTUMBULIWA:: TANESCO...
WAZIRI KAIRUKI AMSIMAMISHA KAZI MKUU WA CHUO CHA U...
BODI YA TSN YAMSIMAMISHA KAZI MHARIRI MTENDAJI
KAMPA KAMPATENA GOOOOOOOOOO HII NI LEO USIKU KWA S...
MHE. RAIS JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMB...
MASHINDANO YA LIGI YA VYUO VIKUU JIJINI MWANZA YAF...
Waziri Muhongo aitaka TANESCO na TPDC kufanya kazi...
KATIBU AFANYA UKAGUZI WA UKARABATI WA UKUMBI WA BU...
PROF. MBARAWA ATOA MWEZI MMOJA KWA MAKANDARASI.
WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA MABALOZI OFISINI K...
Serikali yatoa wito wafanyabiashara wa Mauritius k...
KURASA ZA MAGAZETI YA HARDNEWS NA BURUDANI FEB 23,...
RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA MABALOZI N...
WAZIRI MKUU APOKEA MISAADA YA MAAFA IRINGA YA SH. ...
MAJALIWA AWATEMBELEA WAATHIRIKA WA MAFURIKO NA KUP...
MKUU WA WILAYA YA IRINGA MJINI, MH RICHARD KASESEL...
GAVANA AZINDUA MWONGOZO WA KWANZA WA KITAIFA WA EL...
IPIGIE KURA FILAMU YA MPANGO MBAYA KATIKA SHINDANO...
BIBI WA MIAKA 106 ATINGA IKULU KWA FURAHA NA MBWEB...
SOLVE YOUR SPOKEN ENGLISH PROBLEMS IN A MONTH AND ...
DARAJA LA WATEMBEA KWA MIGUU LA FURAHISHA JIJINI M...
WENGER AWATAKA ARSENAL KUTAFUTA MBINU YA KUMDHIBIT...
MADHARA YA POMBE KWA WAJAWAZITO HAYANATOFAUTI NA Y...
MEMPHIS DEPAY AFURAHIA MAISHA NA BINTI WA MCHEKESH...
RAIS MUSEVENI AKANUSHA MADAI YA KUIBA KURA KATIKA ...
DEREVA TEKSI ASHIKILIWA MAREKANI KWA MAUAJI YA WAT...
WAZIRI KITWANGA AFANYA KIKAO NA WATENDAJI WAKUU WA...
RC MAHIZA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI...
Wasanii kuanzisha Mfuko wa Maendeleo ya Filamu nchini
Usambazaji mpya wa filamu kwa njia ya digitali Waa...
OFISI YA RAIS-UTUMISHI YASISITIZA UZINGATIAJI WA M...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU RIPOTI YA UTAFITI WA WATAL...
Tigo yatoa msaada wa millioni 10/- kwa waathirika ...
TAASISI YA MANJANO FOUNDATION WAENDELEA KUWAELIMIS...
IGP ATANGAZA OPERESHENI KALI DHIDI YA BODABODA.
TCU yafuta vyuo vishiriki vya Mtakatifu Joseph
►
Januari
(55)
►
2015
(1044)
►
Desemba
(177)
►
Novemba
(154)
►
Oktoba
(199)
►
Septemba
(168)
►
Agosti
(93)
►
Julai
(141)
►
Juni
(112)
Inaendeshwa na
Blogger
.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni