Rais John Pombe Joseph Magufuli akiongea na
baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu
mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi
February 18, 2016.
Rais John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Mhe January Makamba huku
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Nape Nnauye kabla ya
kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya
uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es
salaam leo Alhamisi February 18, 2016
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni