Makamu
wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi, mshindi wa kwanza wa Mashindano ya
kumtafuta mwakilishi wa Nchi atakayeiwakilisha Tanzania kwenye
mashindano ya Kimataifa ya Qur'aan Tukufu, Rajai Ayoub, aliyepata pointi
95 kwa upande wa Tajweed, wakati wa mashindano hayo yaliyofanyika
kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, jana Feb 28, 2016.
Mashindano hayo yameandaliwa na Kamati maalum chini ya Mwenyekiti wake,
Saleh Omary. . Kushoto ni Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mahd
Aghajafar.
Makamu
wa Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla fupi ya kukabidhi zawadi kwa
washindi wa mashindano ya kumtafuta mwakilishi wa Nchi atakayeiwakilisha
Tanzania kwenye mashindano ya Kimataifa ya Qur'aan Tukufu,
yaliyoandaliwa na Kamati Maalum chini ya Mwenyekiti wake Saleh Omary,
yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, jana.
Makamu
wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi, mshindi wa kwanza wa Mashindano ya
kumtafuta mwakilishi wa Nchi atakayeiwakilisha Tanzania kwenye
mashindano ya Kimataifa ya Qur'aan Tukufu, Abubakar Mohamed, aliyepata
pointi 86 kwa upande wa washindani wa Juzuu 30, wakati wa mashindano
hayo yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, jana
Feb 28, 2016. Mashindano hayo yameandaliwa na Kamati maalum chini ya
Mwenyekiti wake, Saleh Omary. Kushoto ni Balozi wa Iran nchini Tanzania,
Mahd Aghajafar.
Makamu
wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi, mshindi wa pili wa Mashindano ya
kumtafuta mwakilishi wa Nchi atakayeiwakilisha Tanzania kwenye
mashindano ya Kimataifa ya Qur'aan Tukufu, Ibrahim Omary, aliyepata
pointi 90 kwa upande wa Tajweed, wakati wa mashindano hayo yaliyofanyika
kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, jana Feb 28, 2016.
Mashindano hayo yameandaliwa na Kamati maalum chini ya Mwenyekiti wake,
Saleh Omary. Kushoto ni Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mahd Aghajafar.
Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu, waliohudhuria mashindano hayo, wakimsikiliza Dkt. Bilal, wakati akihutubia.
Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu, waliohudhuria mashindano hayo, wakimsikiliza Dkt. Bilal, wakati akihutubia.
Sheikh
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sl-had Mussa Salum, akizungumza kabla ya
kumkaribisha mgeni rasmi, kufunga mashindano hayo.
Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano hayo,Saleh Omary, akizungumza wakati wa mashindano hayo.
Makamu
wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wakati
akiondoka kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, baada ya
kumalizika kwa mashindano ya kumtafuta mwakilishi wa Nchi
atakayeiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Kimataifa ya Qur'aan
Tukufu
Dua baada hafla hiyo
Mshiriki Rajab Juma, mshindi wa pili aliyepata pointi 78 katika Juzuu 30
Mshiriki Mbwana Dadi, mshindi wa tatu aliyepata pointi 75 katika Juzuu 30.
Mshindi wa kwanza katika juzuu 30, Abubakar Mohamed, aliyepata Pointi 86, akitafakari kabla ya kupanda jukwaani kushiriki.
Abubakar Mohamed, mshindi wa kwanza akishiriki....
Mshindi wa tatu kwa upande wa Tajweed, Ally Saleh, aliyeibuka na pointi 82
Mshindi wa kwanza kwa upande wa Tajweed, Rajai Ayoub, aliyeibuka na pointi 95.
Mshindi wa pili kwa upande wa Tajweed, Ibrahim Omaru, aliyeibuka na pointi 90.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni