Mwanamuziki Adele ametiririkwa na
machozi ya furaha baada ya kushinda tuzo nne ikiwemo ya msanii solo
mwanamke pamoja na tuzo ya albamu bora kwenye tuzo za muziki za
nchini Uingereza.
Akiongea kwa hisia kali mara baada
ya kutwaa tuzo hizo amesema baada ya kutokea mbali na kupokelewa kwa
faraja kunamana kubwa kwake.
Nyota huyo ambaye pia alitumbuiza
nyimbo ya kufungia hafla za utoaji tuzo kwa kuimba wimbo wake wa
'When We Were Young', pia amepata tuzo ya mwanamuziki Muingereza
aliyefanikiwa dunani.
Drake na Rihanna wakitumbuiza kwenye tuzo hizo za Uingereza
Msanii Justin Bieber akiwa jukwaani kwenye tuzo za muziki Uingereza
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni