MKUU WA WILAYA YA IRINGA MJINI, MH RICHARD KASESELA ATIMIZA KAULI MBIU YA HAPA KAZI TU KWA VITENDO

Mkuu wa wilaya ya Iringa Mjini, Richard Kasesela akimfundisha mmoja wa wanafunzi wa shule ya msingi Kihorogota.
Hapo mwenzangu somo limepanda? Wanafunzi hawa wakijadiliana jambo baada ya kupata maelekezo toka kwa Mkuu wa wilaya ya Iringa Mjini, Mh Richard Kasesela.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni