Mkuu
wa Mkoa wa Tanga,Mwantumu Mahiza akizungumza wakati alipofungua Mkutano
wa Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya leo kwenye
ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Tanga.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya,Michael Mhando
akizungumza Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima
ya Afya leo kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Tanga kulia ni
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mwantumu Mahiza.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya,Michael Mhando
kushoto akiingia kwenye ukumbini wakati wa Mkutano wa Baraza la
Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya leo kwenye ukumbi wa Ofisi
ya Mkuu wa mkoa wa Tanga kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mwantumu
Mahiza.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya,Michael Mhando
akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa mfuko huo wakati wa Mkutano wa
Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya leo kwenye
ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Tanga kulia ni Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Mwantumu Mahiza na wa mwisho kulia ni Meneja wa NHIF Mkoa wa
Tanga,Ally Mwakababu.
MKURUGENZI
wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii
Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti akifuatilia kwa umakini hotuba ta mkuu
wa mkoa wa Tanga,Mwantumu Mahiza wakati wa Mkutano wa Baraza la
Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya uliofanyika leo mjini
Tanga.
MKURUGENZI
wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii
Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti wa kwanza kushoto akiimba nyimbo ya
solidarite na wafanyakazi wenzake wakati wa Mkutano wa Baraza la
Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya uliofanyika leo mjini
Tanga.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wakifuatilia
mambo mbalimbali wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa
Taifa wa Bima ya Afya uliofanyika leo mjini Tanga.
Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)wakiwa mkutanoni leo.
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga,Mwantumu Mahiza akiwa kwenye picha ya pamoja na
wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya leo mara baada ya kufungua
Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi kulia kwake ni Kaimu Mkuu Mkurugenzi
wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),Michael Mhando.
Kaimu
Mkuu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),Michael Mhando
akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga mara baada ya kufungua mkutano wa
Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.
Picha na Tanga Raha Blog.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni