Mkurugenzi
Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao(katikati) akishuhudia
Mkurugenzi Mtendaji wa ITV na Redio one, Joyce Mhavile (
kulia)akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano
wa Vodacom, Rosalynn Mworia ( kushoto) wakati uongozi wa kampuni hiyo
ulipotembelea kituo cha ITV na Redio One jijini Dar es Salaam, kwa
ajili ya kuelendeleza Mahusiano mazuri ya kibiashara.
Mkurugenzi
Mtendaji wa ITV na Redio One, Joyce Mhaville, (kulia) akiwafafanulia
jambo wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakati walipotembelea kituo hicho
kwa ajili ya kujifunza mbalimbali na kuelendeleza Mahusiano mazuri ya
kibiashara,Kutoka Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,
Ian Ferrao, Meneja Uhusiano Matina Nkurlu,Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa
Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo,Rosalynn Mworia wakati uongozi
wa kampuni hiyo ulipotembelea ITV na Redio One jijini Dar es Salaam,
kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali na kuendeleza mahusiano mazuri
ya kibiashara kituoni hapo.
Maofisa
wa Vodacom Tanzania ,wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni
hiyo, Ian Ferrao(wapili kushoto) Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mawasiliano na
Uhusiano wa Rosalynn Mworia (aliyekaa) Meneja Uhusiano Matina
Nkurlu, (kushoto)na Meneja biashara,Grace Lyon wakioneshwa jinsi
taarifa ya habari inavyoenda hewani na na mtangaziji wa kituo cha ITV
Abdallah Mwaipaya, Wakati Uongozi wa kampuni hiyo ulipotembelea kituo
hicho jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali na
kuendeleza mahusiano mazuri ya kibiashara kituoni hapo.
Mkurugenzi
Mkuu wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao(wapili kulia) Kaimu Mkurugenzi
Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo, Rosalynn Mworia (
kushoto) na Kaimu mkuu wa Masoko na Mawasiliano,Yvonne Maruma
wakimsikliza kwa makini Mhariri wa ITV na Redio One,Stephen Chuwa
alipokuwa akiwafafanulia jambo kuhusiana na utendaji wa wa kituo
hicho,Wakati Uongozi wa kampuni hiyo ulipotembelea kituo hicho jijini
Dar es Salaam,kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali na kuendeleza
mahusiano mazuri ya kibiashara kituoni hapo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa ITV na Redio One, Joyce Mhaville(kushoto) akiongea jambo na
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao(katikati) na Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo, Rosalynn
Mworia ,wakati wa ziara ya kujifunza mambo mbalimbali na kuendeleza
mahusiano mazuri ya kibiashara na kituo hicho jana.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao(kushoto) akimsikiliza
matangazaji wa kituo cha EATV, Deo alipoongoza Uongozi wa kampuni yake
kutembelea kituo hicho jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujifunza
mambo mbalimbali yanayofanywa na kituo hicho na kuendeleza mahusiano
mazuri ya kibiashara kituni hapo jana.
Mkurugenzi
Mkuu wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa
Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo, Rosalynn Mworia , wakiwa katika
picha ya pamoja na wafanyakazi wa East Africa Redio na EATV,wakati
Uongozi huo ulipotembelea kituo hicho jijini Dar es Salaam, kwa ajili
ya kujifunza mambo mbalimbali yanayofanywa na kituo hicho na kuendeleza
mahusiano mazuri ya kibiashara kituni hapo jana.
Mkurugenzi
Mkuu wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao akisisitiza jambo kwa Uongozi wa
Kampuni ya New habari Corporation jijini Dar es Salaam, wakati wa ziara
maalum ya kutembelea chombo hicho cha habari jijini Dar es Salaam, kwa
ajili ya kujifunza mambo mbalimbali yanayofanywa na chombo hicho na
kuendeleza mahusiano mazuri ya kibiashara na chombo hicho,Kushoto ni
Mkurugenzi Mtendaji wa New Habari Corporation,Hussen Bashe.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni