Dereva wa teksi anashikiliwa kwa
kuhusika na vifo vya watu sita katika tukio la mashambulizi ya risasi
kwenye mji wa Kalamazoo uliopo Michigan nchini Marekani.
Dereva huyo Jason Brian Dalton, 45,
alikamatwa baada ya kushambulia maeneo matatu siku Jumamosi usiku.
Imethibitishwa kuwa Bw. Dalton
alikuwa ni dereva wa teksi wa kampuni ya teksi inayosuasua ya Uber.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni