Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger
amewataka wachezaji wake kutafuta mbinu ya kumficha Luis Suarez,
watakapokutana katika mchezo wao Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya
Barcelona.
Arsenal watakutana na Barcelona
katika mchezo huo wa hatua ya 16 bora utakaofanyika jumanne, ambapo
Wenger amehimiza Arsenal kumdhibiti Suarez aliye kwenye kiwango cha
juu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni