Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mratibu Mkazi wa Umoja wa
Mataifa nchini, Mhe. Alvaro Rodriguez kabla ya mazungumzo yao Ofisini
kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Februari 23, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mratibu Mkazi wa Umoja wa
Mataifa nchini, Bw. Alvaro Rodriguez Ofisini kwake jijini Dar es salaam
Februari 23, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Uturuki nchini, Mhe.
Yosemin Eralp kabla ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar
es salaam Februari 23, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Ireland nchini, Mhe.
Fionnuala Gilsenan, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 23,
2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Switzerland nchini,
Mhe. Florence Tinguely Mattli, Ofisini kwake Mkuu jijini Dar es
salaam Februari 23, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni