SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UJUMBE WA WABUNGE MAREKANI

UJ01 
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Wabunge wa Bunge la Marekani (Congress) waliomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Febuari, 2016.
UJ1 
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakizungumza na Ujumbe wa Wabunge kutoka Bunge la Sweden waliotembelea Ofisi za Bunge leo Jijini Dar es Salaam.
UJ02 
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Wabunge wa Bunge la Marekani (Congress) waliomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam
UJ2 
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wkiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Wabunge kutoka Bunge la Sweden waliotembelea Ofisi za Bunge leo Jijini Dar es Salaam.
(Picha na Ofisi ya Bunge)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni