Baadhi
ya wanafunzi wa Chuo cha VETA NJIRO, waliohudhuria kwenye mafunzo ya
usalama na wizi wa umeme wa kwanza (Kushoto) ni Afisa Huduma kwa wateja
Bw. Juma Msuya.
Mwanafunzi wa Chuo cha Veta kilichopo Oljoro mkoani Arusha akiuliza swali kwa wataalamu wa TANESCO katika mafunzo hayo.
Baadhi
ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Oldonyo Sambu ya Mkoani Arusha wakiwa
na zawadi zao walizopewa na wataalam wa TANESCO kama zawadi za kushiriki
vyema katika mafunzo hayo na kujibu na kuuliza maswali, kushoto ni
Afisa Mahusiano na Wateja Mkoa wa Arusha Bw.Fred Mbavai.
Baadhi
ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Mbweni ya jijini Dar es Salaam wakiwa
tayari kuwapokea wataalam kutoka TANESCO kwa ajili ya kupokea elimu
kuhusu masuala mbalimbali ya umeme.
Afisa
Masoko Bi. Jenifer Mgendi kutoka Shirika la Umeme (TANESCO) akitoa
zawadi kwa wanafunzi waliojibu maswali vizuri wakati wa utoaji elimu ya
masuala ya umeme, katika Shule ya Msingi Tandika ya jijini Dar es
Salaam.
Baadhi
ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Kisukuru ya jijini Dar es Salaam,
wakishangilia zawadi walizopewa wakati wa wataalam kutoka TANESCO
walipotoa elimu ya masuala ya umeme. Katikati ni Afisa Uhusiano
Bi.salama Kasamalu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni