Naibu
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji (katikati) akikata utepe
kuzindua rasmi Tawi jipya la Benki ya Amana, wakati alipokuwa
akimwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan kuzindua Tawi hilo lililofunguliwa leo Feb 25, 2016
Mbagala Zakiem jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Benki hiyo,
Dkt. Muhsin Salim Masoud (kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi,
Abdallah Al- Nahdi. Picha na Sufianimafoto Blog
Naibu
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji, akisoma hotuba yake ya
uzinduzi wa Tawi jipya la Benki ya Amana lililofunguliwa Mbagala Zakiem
jijini Dar es Salaam, ambapo Mhe. Kijaji alimwakilisha Mhe. Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kwenye
uzinduzi huo.
Mkurugenzi
wa Benki Amana, Dkt. Muhsin Salim Masoud, akizungumza kabla ya
kumkaribisha mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu
Kijaji, kuzindua Tawi hilo kwa niaba ya Makamu wa Rais Mhe. Samia
Suluhu Hassan.
Mwendesha shughuli MC, Saleh, akiongoza hafla hiyo ya uzinduzi....
Ustaadh, akiomba dua ya ufunguzi wa shughuli hiyo.....
Naibu
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji, akifunua kitambaa kama
ishara ya kuweka Jiwe la msingi katika Jengo la Benki ya Amana, wakati
alipokuwa akimwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuzindua Tawi jipya la Benki hiyo
lililofunguliwa Mbagala Zakiem jijini Dar es Salaam, leo Feb 25, 2016.
Kulia ni Mbunge wa Viti maalumu CCM, Mariam Kisangi (kulia kwa Waziri)
ni Mkurugenzi wa Amana Benki, Dkt. Muhsin Salim Masoud (na wa pili
kulia) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Abdallah Al-Nahdi.
Baadhi
ya wadau na wananchi waliohudhuria hafla hiyo ya uzinduzi wakimsikiliza
Mhe. Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji, wakati
akihutubia katika uzinduzi huo, leo.

Mkurugenzi wa Benki hiyo, Dkt. Muhsin Salim Masoud, akihitimisha shughuli hiyo....
Ustaadh akisoma dua ya kufunga shughuli hiyo baada ya uzinduzi.....
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni