Afisa Mauzo na Masoko kutoka PSPF
Bw. Ismail Omary kilia akimpa maelekezo ya juu ya huduma mbalimbali
zinazotolewa na Mfuko huo mgeni rasmi Yeremia Mbaghi kutoka TRA ikiwa ni
pamoja na huduma ya uchangiaji wa hiari kwa wajasiriamali.Hafla hiyo
imefanyika jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM).
Afisa uendeshaji kutoka PSPF Bw.
Delphine Richard akiwaelekeza wajasiriamali umuhimu wa kujiunga na
huduma ya uchangiaji kwa hiari kwa faida ya biashara zao na maendeleo
yao kwa ujumla. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM)
Afisa Mauzo na Masoko kutoka PSPF
Bw. Ismail Omary kulia akimpa maelekezo mteja juu ya huduma mbalimbali
zinazotolewa na Mfuko huo. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM)
Afisa uendeshaji msaidizi
aliyekaa kulia Bi. Sophia Msuya akiwapa maelezo wateja juu ya huduma
mbalimbali zinazotolewa na Mfuko huo. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM)
Afisa uendeshaji msaidizi
aliyekaa kulia Bi. Sophia Msuya akiwapa maelezo wateja juu ya huduma
mbalimbali zinazotolewa na Mfuko huo.(Picha na Benjamin Sawe-WHUSM)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni