Mwanahabari
nguli Hemedi Kimwanga (kushoto waliosimama) akipeana pole na wanamuziki
mbalimbali wakongwe wakati wa msiba wa Mzee Kassim Mapili Magomeni
Mapipa jijini Dar es salaam leo
Wanamuziki nyota wa kike walijitokeza kwa wingi katika msiba huu. Hapo kuna Nyota Abdallah, Anna Mwaole, Kida Waziri, Lwiza Mbuttu, Asha Salvador na wengineo wengi |
Kanku Kelly na Papaa Juma Mbizo wakimuaga Kassim Mapili
Banana Zorro, Ben Kinyaia, Mrisho Mpoto na mdau wa muziki
Banana Zorro, Ben Kinyaia, Mrisho Mpoto na mdau wa muziki
Mzee Makassy na wakongwe wenzie walikuwepo
Kanku Kelly na Delphine Munumba wakiongea na kaka Emmanuel Mpangala msibani
Mwakilishi kutoka Wiziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo akitoa rambirambi za serikali
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akimfariji mtoto wa marehemu
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akimfariji mtoto wa marehemu
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akimfariji mtoto wa marehemu
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akipeana mikono na mwanamuziki mkongwe Mjusi Semboja huku akiongea na Mzee Makassy na wanamuziki wengine
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akiongea na mchambuzi wa muziki wa dansi mahiri Zomboko na mdau wa muziki Hassan
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni