Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Mh. Job Ndugai akipokea zawadi kutoka kwa Mh.
Kenneth G. Forslund Kiongozi wa ujumbe wa Wabunge wa Bunge la
Sweden waliomtembelea Spika wa Bunge la Tanzania katika ofisini za bunge
jijini Dar es salaam leo na kujadilia mambo mbalimbali juu ya
ushirikiano wa mabunge hayo.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES
SALAAM)
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Mh. Job Ndugai akionyesha zawadi aliyompatia
Mh. Kenneth G. Forslund Kiongozi wa ujumbe wa Wabunge wa Bunge la
Sweden waliomtembelea Spika wa Bunge la Tanzania katika ofisini za bunge
jijini Dar es salaam leo na kujadilia mambo mbalimbali juu ya
ushirikiano wa mabunge hayo.
Nibu Spika wa Bunge la Tanzania
Mh. Dk. Tulia Akson akishiriki katika mkutano huo, katikati ni Katibu wa
Bunge Dk. Thomas Kashilila na kushoto ni Bw. Jossey Mwakasyuka kutoka
Bunge la Tanzania.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Mh. Job Ndugai akimsikiliza Mh. Kenneth G.
Forslund Kiongozi wa ujumbe wa Wabunge wa Bunge la Sweden waliomtembelea
Spika wa Bunge la Tanzania katika ofisini za bunge jijini Dar es salaam
leo
Mh. Kenneth G. Forslund Kiongozi
wa ujumbe wa Wabunge wa Bunge la Sweden akizungumza wakati ujumbe huo
ulipomtembelea Spika wa Bunge la Tanzania katika ofisini za bunge jijini
Dar es salaam leo, Katikati ni Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Balozi
Katarina Rangnitt na kushoto ni Mh. Maria Anderson Mbunge wa bunge la
Sweden.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Mh. Job Ndugai akiakimsikiliza kwa makini
Mh. Kenneth G. Forslund Kiongozi wa ujumbe wa Wabunge wa Bunge la
Sweden. wakati ujumbe huo ulipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es
salaam
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Mh. Job Ndugai akizungumza na ujumbe huo
katikati Naibu Spika wa Bunge Mh. Dr. Tulia Akson na kushoto ni Katibu
wa Bunge Dk Thomas Kashilila.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Mh. Job Ndugai na Mh. Kenneth G. Forslund Kiongozi
wa ujumbe wa Wabunge wa Bunge la Sweden wakiwa katika picha ya pamoja
kutoka kulia ni Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mh. Katarina Rangnitt ,
Naibu Spika wa Bunge Mh. Dk Tulia Akson na Kushoto ni Katibu wa Bunge
Dk. Thomas Kashilila.

Dk. Thomas Kashilila pamoja na wabunge wa bunge la Sweden
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Mh. Job Ndugai na Mh. Kenneth G. Forslund Kiongozi
wa ujumbe wa Wabunge wa Bunge la Sweden wakiwa katika picha ya pamoja
kutoka kulia ni Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mh. Katarina Rangnitt ,
Naibu Spika wa Bunge Mh. Dk Tulia Akson na Kushoto ni Katibu wa Bunge
Dk. Thomas Kashilila, Wabunge wa bunge la Sweden pamoja na maofisa wa
bunge la Tanzania.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni