Rais
wa
 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph 
Magufuli
akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Daudi Felix Ntibenda mara baada
 ya
kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tayari
 kuongoza mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi zaJumuiya ya Afrika 
Mashariki leo February 28, 2016.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph 
Magufuli akilakiwa na  Mwenyekiti mpya wa CCM Mkoa wa Arusha Mhe. Lekule
 Laizer baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa 
Kilimanjaro (KIA) tayari kuongoza mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa 
nchi zaJumuiya ya Afrika Mashariki leo February 28, 2016.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga baada
 ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) 
tayari kuongoza mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi zaJumuiya ya 
Afrika Mashariki leo February 28, 2016.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph 
Magufuli akiwa  na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Daudi Felix Ntibenda 
akiendelea kusalimia viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika 
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tayari kuongoza 
mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi zaJumuiya ya Afrika Mashariki 
leo February 28, 2016.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph 
Magufuli akilakiwa na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassary 
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tayari kuongoza
 mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi zaJumuiya ya Afrika Mashariki
 leo February 28, 2016.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph 
Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Mhe CAtherine Magige 
baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro 
(KIA) tayari kuongoza mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi 
zaJumuiya ya Afrika Mashariki leo February 28, 2016.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph 
Magufuli akilakiwa na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili katika 

Magufuli akilakiwa na viongozi mbalimbali wa dini baada ya kuwasili 
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tayari kuongoza
 mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi zaJumuiya ya Afrika Mashariki
 leo February 28, 2016.
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph 
Magufuli akilakiwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Afande Liberatus 
Sabas  baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa 
Kilimanjaro (KIA) tayari kuongoza mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa 
nchi zaJumuiya ya Afrika Mashariki leo February 28, 2016.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph 
Magufuli akisalimiana na viongozi baada ya kuwasili katika Uwanja wa 
Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tayari kuongoza mkutano wa 17 wa
 kawaida wa wakuu wa nchi zaJumuiya ya Afrika Mashariki leo February 28,
 2016.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio  mara
 baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro 
(KIA) tayari kuongoza mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi 
zaJumuiya ya Afrika Mashariki leo February 28, 2016.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Bw. Allan Kijazi  baada
 ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) 
tayari kuongoza mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi zaJumuiya ya 
Afrika Mashariki leo February 28, 2016.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph 
Magufuli akisalimiana na Makamanda wa JWTZ  baada ya kuwasili katika 
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tayari kuongoza 
mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi zaJumuiya ya Afrika Mashariki 
leo February 28, 2016.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph 
Magufuli akiwa  na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Daudi Felix Ntibenda 
akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Bw. Elishilia Kaaya mara
 baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro 
(KIA) tayari kuongoza mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi 
zaJumuiya ya Afrika Mashariki leo February 28, 2016.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph 
Magufuli akiwa  na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Daudi Felix Ntibenda 
akifurahia kikundi cha utamaduni cha Chuo Kikuu cha Tumaini cha Makumira
 mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa 
Kilimanjaro (KIA) tayari kuongoza mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa 
nchi zaJumuiya ya Afrika Mashariki leo February 28, 2016.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph 
Magufuli akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Daudi Felix Ntibenda 
akipiga ngoma baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa 
Kilimanjaro (KIA) tayari kuongoza mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa 
nchi zaJumuiya ya Afrika Mashariki leo February 28, 2016.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph 
Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Daudi Felix Ntibenda 
mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa 
Kilimanjaro (KIA) tayari kuongoza mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa 
nchi zaJumuiya ya Afrika Mashariki leo February 28, 2016.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph 
Magufuli akiwa  na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Daudi Felix Ntibenda 
akiangalia vikundi vya ngoma mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa 
Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tayari kuongoza mkutano wa 17 wa
 kawaida wa wakuu wa nchi zaJumuiya ya Afrika Mashariki leo February 28,
 2016.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph 
Magufuli akiwa  na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Daudi Felix Ntibenda 
akifurahia burudani ya ngoma ya Mdumange baada ya kuwasili katika Uwanja
 wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tayari kuongoza mkutano wa 
17 wa kawaida wa wakuu wa nchi zaJumuiya ya Afrika Mashariki leo 
February 28, 2016.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph 
Magufuli akiwa  na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Daudi Felix Ntibenda 
akifurahia ngoma ya kinamama baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
 Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tayari kuongoza mkutano wa 17 wa kawaida
 wa wakuu wa nchi zaJumuiya ya Afrika Mashariki leo February 28, 2016.
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph 
Magufuli akiwa  na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Daudi Felix Ntibenda 
akipungia wanannchi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa 
Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tayari kuongoza mkutano wa 17 wa kawaida 
wa wakuu wa nchi zaJumuiya ya Afrika Mashariki leo February 28, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  akisalimiana kwa furaha na aliyekuwa Katibu Myeka wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Samweli Kasori mara
 baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro 
(KIA) tayari kuongoza mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi 
zaJumuiya ya Afrika Mashariki leo February 28, 2016.
Picha zote na IKULU

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni