Mwanasoka Memphis Depay ameenaswa
akifurahi usiku akiwa pamoja na mpenzi wake Lori Harvey usiku wa
jumamosi, na hata alipopigwa faini ya kuegesha vibaya gari bado
hakupoteza hali ya furaha.
Depay anayechezea Manchester United
alikuwa ametoka kwa mlo wa usiku na Lori, mtoto wa kambo wa
mchekeshaji Steve Harvey, akiwa na gari lake la kifahari la Rolls
Royce linalouzwa paundi 250,000.
Memphis Depay akichukua tiketi ya faini ya kuegesha vibaya gari
Licha ya kulambwa faini Depay hakuacha kutabasamu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni