Mkurugenzi
 wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathew 
Kirama (kushoto) akimsikiliza mwandaaji wa kipindi cha rushwa ni adui wa
 haki kinachorushwa na TBC Taifa Bi.Miriam Chisoro (kulia) wakati 
wakijadili mada ya umuhimu wa maadili katika utumishi wa umma ofisini 
kwa mkurugenzi huyo mapema leo.
 Mwandaaji
 wa kipindi cha rushwa ni adui wa haki kinachorushwa na TBC Taifa 
Bi.Miriam Chisoro (kulia) akimuuliza swali Mkurugenzi wa Idara ya 
Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathew Kirama 
(katikati) wakati wakijadili umuhimu wa maadili katika utumishi wa umma 
ofisini kwa mkurugenzi huyo mapema leo.
 Mkurugenzi
 wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathew 
Kirama (kushoto) akisisitiza uzingatiaji wa Kanuni za Maadili ya 
Utendaji katika Utumishi wa Umma wakati wakijadili mada ya umuhimu wa 
maadili katika utumishi wa umma na mwandaaji wa kipindi cha rushwa ni 
adui wa haki kinachorushwa na TBC Taifa Bi.Miriam Chisoro ofisini kwa 
mkurugenzi huyo mapema leo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni