Naibu Waziri Ujenzi Mhe.Mhandisi Edwin Ngonyani atembelea TANROADS


NaibuWaziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Mhandisi Edwin Ngonyani(kushoto)  akimsikiliza MkurugenziMtendaji wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale alipotembelea taasisi hiyo na kuzungumza na menejimenti   jijini Dar es Salaam.
 Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na
Mawasiliano Mhe.Mhandisi Edwin Ngonyani( kulia)
akifafanua jambo  katika kikao na
Menenjimenti ya wafanyakazi wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) kulia
ni  Mkurugenzi Mtendaji wa TANROADS
Mhandisi Patrick Mfugale .
Wafanyakazi wa Wakala wa Barabara nchini
(TANROADS) wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano
Mhe.Mhandisi Edwin Ngonyani( hayupo katika picha alipotembelea taasisi
hiyo  jijini Dar es Salaam.
 Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na
Mawasiliano Mhe.Mhandisi Edwin Ngonyani( kushoto)  akisalimiana na wafanyakazi wa  Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSFA)
alipowasili katika ofisi zao maeneo ya Sayansi Kijitonyama katika ziara ya
kutembelea Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo jijini Dar es Salaam .
 
 
 Maofisa  wa Mfuko Wa Mawasiliano Kwa
Wote(UCSFA) Mhandisi. Peter wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano
Mhe.Mhandisi Edwin Ngonyani( hayupo katika picha)  alipofanya ziara ya kutembelea ofisi
hiyo  jijini Dar es Salaam.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni