Baadhi ya wajumbe wa Kamati ndogo
iliyoundwa kwa ajili ya kufuatilia uanzishwaji wa Mfuko wa Maendeleo ya
Filamu Tanzania wakiwa ndani ya kikao leo jijini Dar es Salaam.
Picha na: Kitengo cha Mawasiliano, WHUSM.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu
Tanzania Bibi. Joyce Fissoo (kushoto) akizungumza wakati wa kikao cha
Kamati ndogo ya wasanii iliyoundwa kwa ajili ya kufuatilia uanzishwaji
wa Mfuko wa Maendeleo ya Filamu Tanzania leo jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu wa DIDAS
Entertainment ambaye Bi. Khadija Seif (katikati) ambaye pia ndiye
mratibu wa zoezi hilo kwa kushirikiana na Bodi ya Filamu, akifafanua
jambo wakati wa kikao cha Kamati ndogo ya wasanii iliyoundwa kwa ajili
ya kufuatilia uanzishwaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Filamu Tanzania leo
jijini Dar es Salaam.
Msanii Single Mtambalike (Richie)
akielezea jambo wakati wa kikao cha Kamati ndogo ya wasanii iliyoundwa
kwa ajili ya kufuatilia uanzishwaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Filamu
Tanzania leo jijini Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni