Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi,Jesh Lupembe akizungumza katika kikao cha baraza la Madiwani wa Halamshauri hiyo.
Baadhi ya watendaji wa Halmashari ya Manispaa ya Moshi wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo .
Baadhi
ya Madiwani katika Halmashauri ya Manispaa ya Moshi wakifuatilia kwa
makini hoja zilizokuwa zikitolewa katika kikao cha baraza hilo.
Diwani wa kata ya Ngangamfumuni ,Anthony .......akichangia hoja katika kikao cha bajeti cha Halmashauri ya manispaa ya Moshi .
Msathiki Meya wa Manispaa ya Moshi ,Raymond Mboya (Kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ,Jesh Lupembe.
i Diwani wa kata ya Miembeni,Mbonea Mshana akichangia hoja katika kikao hicho.
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini ,Jafry Michael pia laikuwa ni miongoni mwa madiwani waliohudhuria kikao hicho.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya Kaskazini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni