Ndugu
wa Marehemu wakiwa katika ibada nyumbani kwa Marehemu Kurasini jijini
Dar es Salaam ibada ya kumuaga marehemu Gervase Rutaguza aliyefariki
dunia Februari 23 mwaka huu.
Padre wa kanisa Katoliki la Mtakatifu Maurus, Kurasini jijini Dar es Salaam akiombea mwili wa marehemuGervase
Rutaguza aliyefariki dunia Februari 23 mwaka huu kwaajili ya kwenda
kwenye mazishi katika makaburi ya Chang'ombe Maduka mawili jijini Dar es
Salaam leo Februari 26, 2016.
Baadhi ya ndugu na Jamaa wa Marehemu Gervase Rutaguza aliyefariki dunia Februari 23 mwaka huu wakiaga mwili wa marehemu leo katika kanisa Katoliki la Mtakatifu Maurus, Kurasini jijini Dar es Salaam leo Februari 26, 2016.
Ndugu
jamaa na marafiki wa Marehem Gervase Rutaguza aliyefariki dunia
Februari 23 mwaka huu wakiwa katika ibada katika Katoliki la Mtakatifu
Maurus, Kurasini jijini Dar es Salaam leo na kuelekea katika makaburi ya
Chang'ombe Maduka mawili jijini Dar es Salaam leo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni