Naibu
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Injinia Hamad Masauni akila kiapo cha
 kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na 
Magereza mbele ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto) 
jijini Dar es Salaam . Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi 
kwa askari Polisi na Magereza. Katikati ni Msajili wa Mahakama Kuu, 
Ilvin Mugeta. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Katibu
 Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira 
akila kiapo cha kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na 
Magereza mbele ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto) 
jijini Dar es Salaam. Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa
 askari Polisi na Magereza. Katikati ni Msajili wa Mahakama Kuu, Ilvin 
Mugeta. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Jaji
 Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto) akimpongeza Naibu 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Injinia Hamad Masauni  mara baada ya 
kumuapisha kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi
 na Magereza, katika tukio lililofanyika katika Mahakama hiyo, jijini 
Dar es Salaam. Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari
 Polisi na Magereza.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Katibu
 Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest 
Rwegasira akisaini hati ya kiapo mara baada ya kuapa kuwa Katibu wa Tume
 ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji Kiongozi wa 
Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto) jijini Dar es Salaam. Tume hiyo 
inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari Polisi na Magereza. 
Katikati ni Msajili wa Mahakama Kuu, Ilvin Mugeta. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Jaji
 Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto) akimkaribisha ofisini 
kwake Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Injinia Hamad Masauni 
kabla ya kumuapisha kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi 
la Polisi na Magereza, katika tukio lililofanyika katika Mahakama hiyo, 
jijini Dar es Salaam . Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi 
kwa askari Polisi na Magereza.. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Injinia Hamad Masauni (kushoto), 
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kulia) 
wakiwa katika picha ya pamoja na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, mara 
baada ya Jaji huyo kuwaapisha kuwa viongozi wa Tume ya Utumishi ya Jeshi
 la Polisi na Magereza katika tukio lililofanyika Mahakamani hapo, 
jijini Dar es Salaam. Injinia Masauni katika Tume hiyo amekuwa Makamu 
Mwenyekiti, na Meja Jenerali Rwegasira amekuwa Katibu. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni