Rais
wa Taasisi ya TANZANIA WOMEN OF ACHIEVEMENT (TWA) (TWA), Irene Kiwia
(katikati ) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani ) kuhusu
uzinduzi wa kampeni ya uwiano wa kijinsia ambayo ni kauli mbiu kuelekea
kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani, kushoto kwake ni Balozi wa
kampeni ya uwiano sawa kijinsia Inspk.Prisca Komba na kulia kwake ni
Mwenyekiti wa TWA, Sadaka Gandi kwenye mkutano uliofanyika mapema leo
jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Taasisi ya TANZANIA WOMEN OF ACHIEVEMENT (TWA),
Sadaka Gandi akifafanua jambo kuhusu uzinduzi wa kampeni ya usawa
wa kijinsia kwenye mkutano na waaandishi wa habari uliofanyika mapema
leo jijini Dar es salaam.
Waandishi
wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakisikiliza kwa makini
maelezo kutoka kwa Rais wa TWA Irene Kiwia kuhusu uzinduzi wa kampeni
ya usawa wa kijinsia katika mkutano uliofanyika mapema leo Jijini Dar es
salaam .Dar es Salaam, Februari 17, 2016:
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni