MAONYESHO YA TATU YA MASHINE NA MIKOPO YAANZA HUKU WAKULIMA NA WAJASIRIAMALI WAKITAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA

Mgeni rasmi ambaye pia ni Ofisa Tawala Wilaya ya Arusha Polycarp Nkuyumba ambaye alimwakilisha Dc wa Arusha Fadhil Nkurlu katika Maonyesho ya Mashine na Mikopo yalionza Jana Katika viwanja vya Makumbusho akiongea na wananchi mbali mbali walikuja kuangalia Moanyesho hayo huku pembeni ya Afisa tawala ni Meneja Miradi na mikopo wa EFTA Peter Temu wakati wa ufunguzi huo

Hotuba ikiendelea

Picha juu na Chini SEHEMU YA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA WALIFIKA KWENYE MAONYSHO HAYO WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI MGENI RASMI



Mgeni Rasmi akiongea na wananchi huku akiwataka kutum ia fusra za kujiwezesha kwa kupata mikopo ya kujiinua kiuchumi

Moja ya makampuni yanaoshiriki maonyesho hayo ya mashine na mikopo ya mashine kwa wajasiriamali na wakulima sambamba na wananchi


Mashine mbambali za makampuni mbali mbali yanaoshiriki Maonyesho hayo ya siku Tatu hadi Jumamosi

Wananchi walipita kwenye mabanda wakipata maelezo ya mashine kabla hawajaamua kukopa mashine hizo kwenye maonyesho ya mikopo na mashine kwa watu wa kada zote

 Wananchi wakipata maelezo mbali mbal;i ya bidhaa zinazozalishwa na makampuni mbali mbali yanaoshiriki maonyesho hayo ya Mashine na Mikopo ya Mashine bila dhamana yanaofanyika kwa mwaka watatu

Balton Tanzania nao walikuwepo katika kutangaza bidhaa zao

Mabanda ya makampuni mbal;i mbali katika maonyesho hayo

Kampuni ya Matrekata ya JOHN DEERE  nayo pia ni washiriki wa maonyesho hayo

Pichani Ni mfanyakazi wa Super doll Tnzania Ltd akitoa maelezo ya bidhaa zinazopatikana katika Kampuni yao kwa wakazi walifika kujionea bidhaa zinazopatikana kwenye banda hilo

Add caption

Picha juu na chini Ni Muuonekano wa banda la SUPERDOLL

Mmoja ya wafanyakazi wa SUPERDOLL ambao nao ni mmoja ya makampuni yanaoshiriki maonyesho hayo akiwa katika kuwakaribisha wananchi kufika kujionea bidhaa za kampuni hiyo kama walivyokutwa na kamera yetu


Picha juu na chini Ni banda la EFTA ambao wanatoa mikopo ya mashine kwa wananchi wakada mbali mbali bila dhamana yeyote hapo wananchi mbali mbali walifika kwenye maonyesho hayo wakipata maelezo mbali mbali kama walivyokuwata na kamera ya matukio jijini Arusha(picha zote na www. manyaraleotz.blospot.com)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni