"Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea 
kunipa pumzi ya uhai hadi sasa,Nawashukuru wazazi wangu ,Mwl Eustera 
Massatu na Abdalah Hussein Mbaruku kwa malezi waliyonipatia,nawashukuru 
ndugu,jamaa na rafiki zangu wote na hasa mke wangu kwa kuendelea 
kunifunza"
"Mungu aawatangulie nyote mnaonendelea 
kutoa mchango mkubwa wa mawazo"
                                                                                   Mungu awabariki sana ,Ameen.



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni