Mmoja
kati ya wanawake walioshirikia Mafunzo ya Ujasiriamali Kutoka Mkaoni
Arusha akiwa kwenye Muonekano tofauti Mara na Naada ya Kutumia Vipodozi
kwa Usahihi baada ya Kuapatiwa Elimu hiyo na wataalamu kutoka Taasisi ya
Manjano foundation..
Mafunzo
ya ujasiriamali kwa wanawake wa arusha yameingia awamu ya
pili.Washiriki wamepata fursa ya kufahamu zaidi kuhusu vipodozi vya
LuvTouch Manjano na namna ya kuvitumia. Mkufunzi na Mkurugenzi wa
taasisi ya Manjano Foundation amependekeza wanawake wa jiji la Arusha
kutumia vipodozi kwa usahihi kwa lengo la kujijengea heshima na
kujiongezea kipato katika kazi yao ya upambaji.
Mkurugenzi
wa Taasisi ya Manjano Foundation na Mkufunzi wa Maswala ya Vipodozi
Mama Shekha Nasser Akitoa elimu Kuhusu Matumizi Sahihi ya Vipodozi
Kwenye Semina ya Ujasiriamali kwa Wanawake wa Jiji la Arusha
Akielezea
zaidi alisema matumizi sahihi ya vipodozi hasa vya LuvTouch Manjano
vitakupa kazi nzuri na bora ambayo kila mteja ataipenda na kulifanya
soko la kila mwanamke kukua kutokana na ubora wa kazi ya mikono yake
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni