Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akifungua Warsha ya pili ya Kimataifa inayojadili kuhusu Bayoanuwai katika
hifadhi ya kupunguza umaskini na uhifadhi ya viumbe hai na maendeleo
endelevu kusini mwa Jangwa la Sahara. Warsha hiyo imefunguliwa leo
Februari 29, 2016 katika ukumbi wa Hoteli ya Tanga Beach Resort Mkoani Tanga.
\Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza jambo na Mkurugenzi Msaidizi wa UNESCO kanda ya Afrika
Firmin Matoko katikati na mwakilishi Mkaazi wa UNESCO Tanzania Zulmira
Rodrigues kabla ya kufungua rasmi Warsha ya pili ya Kimataifa
inayojadili kuhusu Bayoanuwai katika
hifadhi ya kupunguza umaskini na uhifadhi ya viumbe hai na maendeleo
endelevu kusini mwa Jangwa la Sahara. Warsha hiyo imefunguliwa leo
Februari 29, 2016 katika ukumbi wa Hoteli ya Tanga Beach Resort Mkoani Tanga.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza jambo na Balozi wa Korea kusini Nchini Geum-Young Song kabla
ya kufungua rasmi Warsha ya pili ya Kimataifa inayojadili kuhusu
Bayoanuwai katika
hifadhi ya kupunguza umaskini na uhifadhi ya viumbe hai na maendeleo
endelevu kusini mwa Jangwa la Sahara. Warsha hiyo imefunguliwa leo
Februari 29, 2016 katika ukumbi wa Hoteli ya Tanga Beach Resort Mkoani Tanga.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akimkabidhi Cheti kiongozi wa Spice kutoka Zanzibar ambae ni mmoja kati
ya washiriki Warsha ya pili ya Kimataifa inayojadili kuhusu Bayoanuwai katika
hifadhi ya kupunguza umaskini na uhifadhi ya viumbe hai na maendeleo
endelevu kusini mwa Jangwa la Sahara. Warsha hiyo imefunguliwa leo
Februari 29, 2016 katika ukumbi wa Hoteli ya Tanga Beach Resort Mkoani Tanga.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akimkabidhi Cheti Judith Mwambela mmoja kati ya washiriki Warsha ya pili
ya Kimataifa inayojadili kuhusu Bayoanuwai katika
hifadhi ya kupunguza umaskini na uhifadhi ya viumbe hai na maendeleo
endelevu kusini mwa Jangwa la Sahara. Warsha hiyo imefunguliwa leo
Februari 29, 2016 katika ukumbi wa Hoteli ya Tanga Beach Resort Mkoani Tanga.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
katikati akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Warsha ya pili ya
Kimataifa inayojadili kuhusu Bayoanuwai katika hifadhi ya kupunguza
umaskini na uhifadhi ya viumbe hai na maendeleo endelevu kusini mwa
Jangwa la Sahara. Warsha hiyo imefunguliwa leo Februari 29, 2016 katika
ukumbi wa Hoteli ya Tanga Beach Resort Mkoani Tanga.
(Picha na OMR)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni