Mke wa msanii wa Uganda, Dan Kazibwe
aka Raga Dee amefungua kesi polisi ya kuibiwa na watu waliokuwa na
silaha wakati akirejea nyumbani.
Mke huyo Mariam Kazibwe aliyekuwa
anarejea nyumbani kwake zoni ya Kizungu, huko Makindye alisimamishwa
na watu watatu waliovaa sare za na kumuibia kwa kutumia mtutu.
Majambazi hao walikwangua gari lake,
na aliposimama ndipo walipomuibia fedha alizokuwa nazo pamoja na simu
zake mbili.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni