RAIS OBAMA NA KANSELA ANGELA MERKEL WAAFIKIANA MPANGO WA KIBIASHARA

Rais Barack Obama pamoja na Kansela Angela Merkel wa Ujerumani wameafikiana misingi ya makubaliano ya kibiashara siku ya jana huku kukiwa na upinzani wa mpango huo.

Baada ya mazungumzo yao kaskazini mwa mji wa Hannover kulikuwa na maandamano ya makumi ya maelfu Wajerumani kupinga mpango huo utakaokamilika mwisho wa mwaka huu.
                            Rais Obama akiwa na mwenyeji wake Kansela Angela Merkel
      Rais Obama na Kansela Angela Merkel walionekana kuwa na wakati mzuri pamoja
                   Waandamanaji wakipinga mpango wa makubaliano ya kibiashara

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni