RAIS UHURU KENYATTA ALIFANYA ZA LA MIRUNGI KUWA ZAO LA BIASHARA

Rais Uhuru Kenyatta jana ametangaza bajeti ya shilingi bilioni 1 za Kenya iliyotengwa kusaidia wakulima wa mirungi dhidi ya hatu ya mataifa ya Ulaya kupiga marufuku kilevi hicho.

Rais Kenyatta pia ametia saini kuwa sheria muswada unaoifanya mirungi kuwa ni zao la kibiashara, hatua ambayo anatarajia itaongeza umaarufu wake kuelekea uchaguzi mkuu.

Kauli hiyo ya rais Kenyatta imetolewa Ikulu Jijini Nairobi akiwa na Naibu rais wake William Ruto pamoja na viongozi muhimu wa kaunti ya Meru ambayo huzalisha mirungi.
Mirungi ikiwa imewekwa kwenye mgomba, zao hili hata nchini Tanzania limepigwa marufuku na kuwekwa kwenye kundi la dawa za kulevya

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni