Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan, akimfariji Bibi Fausta Andreas na Mtoto
wake Vayalet Michael (2) aliyelazwa katika Hospitali ya rufaa Mkoa
Morogoro kwa matibabu wakati alipotembelea Hospitali hiyo April
17.2016 kwa ajili ya kuangalia utendaji na utoaji huduma kwa Jamii.
Makamu wa Rais yupo Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan, akitembelea Hospitali ya Rufaa Mkoa wa
Morogoro April 17,2016, wakati alipowasili Hospitalini hapo kwa
ajili ya kuangalia huduma zinazotolea kwa Jamii katika Hospitali hiyo.
Makamu wa Rais yupo Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
kulia Daktari Mfawizi wa Hospitali hiyp Dr. Rita Lyamuya.

wa Rais Samia Suluhu Hassan, akiangalia Bidhaa za aina mbalimbali
zinazotengenezwa katika kiwanda cha Mafundi Seremala cha (Kimasemo)
kiliopo Sabasaba Mkoani Morogoro, wakati alipotembelea Kiwanda hicho
April 17.2016 kwa ajili ya kukagua kazi zinazofanywa na kikundi hicho
ambapo ameahidi kuchangia jumla ya Tshs 10 milioni kwa ajili ya
kuendeleza utendaji wa kiwanda hicho. Makamu wa Rais yupo Mkoani
Korogoro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan, akikabidhi hundi ya Tshs 10 Milioni kwa
Mwenyekiti wa Kikundi cha vijana cha Mafundi Seremala (Kimasemo) Habibu
Said zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Azizi Aboud
kwa ajili ya kuendeleza utendaji wa kiwanda hicho. Makamu wa Rais yupo
Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na watoto baada ya
kukamilisha ziara ya kutembelea kiwanda cha Mafundi Seremala cha
(Kimasemo) kiliopo Sabasaba Mkoani Morogoro April 17.2016. Makamu wa
Rais yupo Mkoani Korogoro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni