Katibu
 Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando, akizungumza wakati 
akielezea kuhusu hafla ya kumwapisha Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, 
Ally Salum Hapi (wa pili kushoto), jijini Dar es Salaam leo. Wa tatu ni 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na wa nne ni Mkuu wa Wilaya 
ya Ilala, Raymond Mushi. (Picha zote na Kassim 
Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Baadhi
 ya waalikwa, wafanyakazi wa Manispaa za jijini la Dar es Salaam na 
wageni waalikwa wakiwa katika hafla ya kumwapisha Mkuu wa Wilaya mpya wa
 Kinondoni, Ally Salum Hapi jijini Dar es Salaam leo. 
Baadhi
 ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam, 
wakiwa katika hafla ya kumwapisha Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally
 Salum Hapi jijini Dar es Salaam leo. 
Mkuu
 wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akizungumza wakati wa 
kumwapisha Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi (kulia), 
jijini Dar es Salaam leo. 
Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi (kulia), akiwa na Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando.
Wakuu
 wa Wilaya za Ilala, Raymond Mushi (kushoto) na wa Wilaya ya Temeke, 
Sophia Mjema, wakiwa katika hafla hiyo ya kumwapisha Mkuu mpya wa Wilaya
 ya Kinondoni, Ally Salum Hapi.
Katibu
 Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando, akielezea kuhusu 
utaratibu wa kumwapisha Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum 
Hapi (katikati), wakati wa hafla hiyo. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es 
Salaam, Paul Makonda.
Mkuu
 wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto), akiteta jambo na Mkuu
 wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi katika hafla hiyo. 
Mkuu
 wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi (kushoto), akijiandaa 
kuapa. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akiwa 
tayari kumwapisha.
Mkuu
 wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akimwapisha Mkuu wa Wilaya mpya
 wa Kinondoni, Ally Salum Hapi (kushoto), jijini Dar es Salaam leo. 
Mkuu
 wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akisaini hati ya kiapo wakati 
alipomwapisha Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi 
(kushoto), jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Katibu Tawala Mkoa wa Dar 
es Salaam, Theresia Mmbando.
Mkuu
 wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi (kushoto), akisaini hati 
ya kiapo chake, mara baada ya kuapishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es 
Salaam, Paul Makonda (kulia), jijini Dar es Salaam leo. 
Mkuu
 wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kulia), akionesha Katiba ya 
Jamhuri ya Muungano (kushoto) na Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), 
ambavyo alikuwa tayari kumkabidhi Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally
 Salum Hapi (kushoto), mara baada ya kumwapisha leo jijini Dar es 
Salaam.
Mkuu
 wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kulia), akimkabidhi Katiba ya 
Jamhuri ya Muungano na Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), mara baada ya
 kumwapisha Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi (kushoto),
 leo jijini Dar es Salaam. 
Mkuu
 wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi (kushoto), akiabidhiwa 
maua na Katibu Tawala Msaidizi (Utawala) wa Mkoa wa Dar es Salaam, Elly 
Mcha. Kulia ni Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando.  
Mkuu
 wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi (kushoto), akiabidhiwa 
maua na Katibu Tawala Msaidizi (Utawala) wa Mkoa wa Dar es Salaam, Elly 
Mcha. 
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema akisoma salamu za Mkoa kwa Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema akimkabidhi kadi yenye salamu za Mkoa Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi. 
Mkuu
 wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi, akizungumza mara baada ya
 kuapishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. 
Baadhi ya wageni waliokuwepo katika hafla hiyo, wakisikiliza hotuba ya mkuu huyo wa wilaya. 
Baadhi ya wageni waliokuwepo katika hafla hiyo, wakisikiliza hotuba ya mkuu huyo wa wilaya.  
Baadhi ya wageni waliokuwepo katika hafla hiyo, wakisikiliza hotuba ya mkuu huyo wa wilaya.
Ofisa Habari wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Adrofina Ndandakizye, akichukua habari wakati wa hafla hiyo.
Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Ally Salum Hapi (kushoto), akipongezwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni