Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe,Issa Haji Ussi (Gavu) akikabidhiana Ofisi na aliyekuwa Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Haji Makeme
Mwadini katika ukumbi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi IkuluMjini Zanzibar baada ya uteuzi wa Mawaziri na Naibu
Mawazi wapya kwa Wizara mbali mbali za Serikali.[Picha na Ikulu.]
Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora
Dkt.Mwinyihaji Haji Makeme Mwadini akitoa shukurani kwa wafanyakazi
wakati wa kukabidhi Ofisi kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi (Gavu) katika ukumbi wa Ofisi
ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ikulu Mjini Zanzibar
baada ya uteuzi wa Mawaziri na Naibu Mawaziri wapya kwa Wizara mbali
mbali za Serikali.[Picha na Ikulu.]
Aliyekuwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Haji
Makeme Mwadini akitoa shukurani kwa wafanyakazi wakati wa kukabidhi
Ofisi kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi (Gavu) katika ukumbi wa Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ikulu Mjini Zanzibar baada ya uteuzi
wa Mawaziri na Naibu Mawaziri wapya kwa Wizara mbali mbali za
Serikali.[Picha na Ikulu.]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe,Issa haji Ussi (Gavu) akitoa nasaha zake kwa Wafanyakazi wakati wa
makabidhiano ya Ofisi na aliyekuwa Waziri ya Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na
Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini leo katika ukumbi wa Ofisi
ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ikulu Mjini Zanzibar baada
ya uteuzi wa Mawaziri na Naibu Mawaziri wapya kwa Wizara mbali mbali za
Serikali,[Picha na Ikulu.]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe,Issa Haji Ussi (Gavu) na aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Haji Makeme Mwadini (katikati)
wakiombewa dua baada ya makabidhiano ya Ofisi katika ukumbi wa Ofisi ya
Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ikulu Mjini Zanzibar baada ya
uteuzi wa Mawaziri na Naibu Mawaziri wapya kwa Wizara mbali mbali za
Serikali.[Picha na Ikulu.]
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa
Haji Ussi (Gavu) na aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na
Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Haji Makeme Mwadini (katikati) wakipeana na
Makatibu (kulia) Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Salum Maulid Salum na Katibu wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Haroub Shaibu Mussa kwa kuwatakia Kheri na
mafanikio baada ya makabidhiano ya Ofisi katika ukumbi wa Ofisi ya Rais
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na
Ikulu.]
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni